Universal Portable SSD Case
TZS 45,000
Maelezo ya Bidhaa
Universal Portable SSD Case – 45,000 TZS
💾 Geuza SSD yako kuwa portable drive
⚡ Fast transfer kwa files kubwa
💼 Compact — beba data zako popote
Tunasafirisha Tanzania Nzima
Lipa tu baada ya oda yako kufika salama.
📍 Inapatikana katika Maduka yetu ya Arusha na Dodoma